ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, November 19, 2017

MASAUNI AZINDUA ZOEZI LA USAJILI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA MKOA WA MARA.

 Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Taifa wakati wa hafla   iliyofanyika leo katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mkendo, mkoani   Mara.Kulia   ni  Mkuu   wa   Mkoa   huo,  Adam   Malima.Kupitia   zoezi   hilo wananchi wa mkoa huo na wilaya zake watapata fursa ya kupata vitambulisho vya Taifa vinavyotolewa  na Mamlaka ya Vitambulisho  vya Taifa (NIDA).Picha na
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

 Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiingiza taarifa za muombaji wa kitambulisho cha Taifa, baada ya kuzindua zoezi la usajili wa vitambulisho hivyo leo Mkoani Mara.Kupitia zoezi hilo wananchi wa mkoa huo na wilaya zake watapata fursa ya kupata vitambulisho vinavyotolewa na Mamlaka   ya  Vitambulisho   vya   Taifa   (NIDA).Picha   na   Wizara   ya   Mambo   ya Ndani ya Nchi


 Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, Kamishna   Jenerali   wa   Uhamiaji,   Dkt.   Anna   Makakala   (kushoto),   Kaimu Mkurugenzi   Mkuu   wa   Mamlaka   ya   Vitambulisho   vya   Taifa   (NIDA),  Andrew Masawe (katikati), wakishuhudia uchukuliwaji wa alama za vidole za mmoja wa wananchi waliofika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mkendo, mkoani Mara kuandikishwa   kwa   ajili   ya   kupata   kitambulisho   cha   utaifa.   Kupitia   zoezi   hilo wananchi wa mkoa huo na wilaya zake watapata fursa ya kupata vitambulisho vya Taifa vinavyotolewa  na Mamlaka ya Vitambulisho  vya Taifa (NIDA).Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.