ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, October 23, 2017

UMEME WASABABISHA ZOEZI LA UANDIKISHWAJI VITAMBULISHO VYA TAIFA WILAYANI SENGEREMA KUSUASUA



ZOEZI la uandikishaji vitambulisho vya uraia katika halmashauri ya wilaya ya Sengerema unaendelea huku kukiwa na changamoto ya kukatika mara kwa mara kwa umeme na kusababisha  usumbufu kwa wananchi waliojitokeza kujiandikisha.

Wakizungumza na Gsengo TV, wananchi hao wamesema kuwa wamekuwa wakilazimika kuamka nyakati za usiku kuwahi kupanga mstari wa kujiandikisha ili baadaye waweze kuwahi katika shughuli zao lakini wamekuwa wakishinda katika zoezi hilo na kushindwa kufanya kazi za kuwaingizia kipato kutokana na umeme kukatika mara kwa mara wakati zoezi hilo likiendelea.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.