ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, September 16, 2017

MAFUNZO YA SIKU 5 WAKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI WA MIKOA MINNE YAMALIZIKA DODOMA.

Mh. Selemani Jafo, alipokuwa akifunga mafunzo ya siku tano kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Mikoa minane kwenye ukumbi wa Hazina Mjini Dodoma.
Mh. Selemani Jafo, alipokuwa akifunga mafunzo ya siku tano kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Mikoa minane kwenye ukumbi wa Hazina Mjini Dodoma huku Wakiwa wanamsikiliza kwa makini.

Mh. Josephine Matiro Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga akitoa neon la Shukrani mara baada yakufungwa kwa mafunzo hayo.

 Bibi Zainabu Chaula, Naibu Katibu Mkuu Afya TAMISEMI, alipokuwa akitoa neon kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufunga Semina hiyo.
Baadhi ya Wakurugenzi na Wakuu wa Wilaya wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Ufungaji wa Semina hiyo ya siku tano. (Picha zote na Idara ya Habari Maelezo- Dodoma)

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.