Manchester United mapemaa imeamua kuuweka hadharani uzi wake mpya wa msimu wa 2017/18.
Uzi huo unaonekana kurudisha kumbukumbu ya Man United kuhusiana na jezi
za enzo hizoo wakati wa kipindi cha Alex Ferguson na wachezaji kama Ryan
Giggs walikuwa wakichipukia.
KATIKA PICHA MAPOKEZI YA MWILI WA BALOZI DR KAMALA
-
Ni Simanzi kubwa mapokezi ya Mwili wa Balozi Kamala
Jeneza lenye Mwili wa mpendwa wetu
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mh Erasto Siima amewaongoza wananchi katika...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.