ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, August 28, 2015

JUMA AMIR AFUNGUKA JUU TUKIO LILILOMTESA KATIKA MAISHA YAKE YA SOKA

Sehemu ya pili ya mazungumzo yangu na mchezaji wa zamani wa timu za Cop United, Pamba zote za jijini Mwanza pamoja na Simba ya jijii Dare es salaam Juma Amir Maftah al-maarufu kama Pellewa Mwanza, hii hapa. 

Aeleza visa vitamu na vichungu katika soka. 

Jeh Ni tukio gani lililo muumiza na hato lisahau?

Soka la Mwanza limekwama wapi?

Jeh Nani amemuandaa kurithi kipaji chake?

BOFYA PLAY KUSIKILIZA.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.