ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, April 17, 2015

AJALI NYINGINE TENA YATOKEA LEO MBEYA YAUWA 19

ajali 3
Kila kukicha nchini Tanzania taarifa za ajali zimezidi kutawala vichwa vya habari kwa vyombo mbalimbali, leo tena ikiwa ni April 17 2015 ajali nyingine imetokea Mbeya baada ya gari la abiria kupoteza mwelekeo na kuingia mtoni Mbeya.
ajali Mbeya
Taarifa zilizothibitishwa na kamanda wa Polisi Mbeya zinasema kuwa mpaka sasa waliofariki ni watu 19.
Ajali 4
Tutaendelea kukupa taarifa kadri zinavyozidi kutufikia. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.