ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, January 17, 2015

KAGERA SUGAR YANYWEA MBELE YA MBEYA CITY 0-1 UWANJA WACCM KIRUMBA MWANZA

Mwamuzi wa mchezo akirusha shilingi kupiga kura timu gani ianze kulisukuma gozi, mchezo wa Ligi Kuu soka Tanzania bara kati ya Kagera Sugar na Mbeya City, uliochezwa kwenye dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza. Mbeya City waliibuka wababe kwa kuikunjua Kagera Sugar bao 1-0. 
Watangazaji wa Kasibante Fm walirusha live mchezo huo.
Kagera wakijifua.
Mbeya City wakijifua.
Kikosi cha Mbeya Citykilichoshuka dimbani kupepetana na Kagera Sugar, dimba la CCM Kirumba jiini Mwanza.
Dakika ya 25 kipindi cha kwanza hakuna kipya bao 0-0
Dakika 90 zinamalizika Kagera wamelowa 0-1 dhidi ya Mbeya City. 
SIKILIZA SAUTI YA SPORTS XTRA KUJUA KIPI KILICHOJIRI 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.