ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, November 15, 2014

ORIJINO KOMEDI WATINGA NDANI YA JEMBE FM 93.7 MWANZA.

Kundi la Orijino Komedi likipata picha ya pamoja na ma-Jembe dJz kulia ni Dj Davy, kushoto ni Dj K-Flip, katika studio za Jembe Fm 93.7 Mwanza, Orijino Komedi Kesho jumapili wataungana na Yamoto Band katika Sunday Bonanza ya Familia na marafiki itakalopigwa Jembe Beach Malimbe kwa kiingilio cha shilingi 5000/=.
Usiku wa leo (Jumamosi) uko pale pale ni SkyMotto, bendi  ya Skylight itakisanukisha ikiwa sambamba na Yamoto Band ambapo kiingilio ni shilingi 10,000/= tu!!
Dj Frank on one & two at Jembe Fm 93.7 Mwanza.
Another one....
jEMBe 'PAMOJA SANA'
jEMBe 'PAMOJA SANA' another one.
jEMBe 'PAMOJA SANA' with G. Sengo pale kati.
Wewe...!!
Seki na jEMBe.
Joti na jEMBe.
Mack Regan na jEMBe.
Mpoki na jEMBe.
Producer Okeleky (L) akiwa na Computer-man. 

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTA NA KUZUNGUMZA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM MKOA WA DAR ES SALAAM.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Wajumbe wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Novemba 15, 2014 kwa ajili ya kuzungumzia juu ya suala zima la maelekezo ya Halmashauri Kuu ya Taifa kuhusu uchaguzi Serikali za mitaa 2014. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Wajumbe wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Novemba 15, 2014 kwa ajili ya kuzungumzia juu ya suala zima la maelekezo ya Halmashauri Kuu ya Taifa kuhusu uchaguzi Serikali za mitaa 2014. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida, wakati wa mkutano uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam kuzungumzia suala zima la maelekezo ya Halmashauri Kuu ya Taifa kuhusu uchaguzi Serikali za mitaa 2014. Picha na OMR
Baadhi ya wajumbe wa CCm Mkoa wa Dar es Salaam, wakishangilia wakati Mlezi wa CCM mkoa wao Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipokuwa akizungumza nao leo. Picha na OMR

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA WAHARIRI VYOMBO VYA HABARI KWA MAZUNGUMZO JIJINI DAR ES SALAAM.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Baadhi ya Wahariri wa Vyombo vya Habari (hawapo pichani) wakati alipokutana nao nyumbani kwake jijini Dar es Salaam jana kwa mazungumzo.  Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Baadhi ya Wahariri wa Vyombo vya Habari (hawapo pichani) wakati alipokutana nao nyumbani kwake jijini Dar es Salaam jana kwa mazungumzo.  Picha na OMR
Mhariri wa gazeti la Jamhuri, Jackton Manyerere, akichangia mada wakati wa mazungumzo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, yaliyofanyika nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam, jana Novemba 14, 2014. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, Deodatus Balile na Mhariri wake, Jackton Manyerere (kulia) mara baada ya kumalizika mazungumzo na Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya habari yaliyofanyika kwenye Makazi ya Mhe Makamu wa Rais Oysterbay, jijini Dar es Salaam, jana usiku Novemba 14, 2014. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Wahariri wa Gazeti la Mwananchi mara baada ya kumalizika mazungumzo na Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya habari yaliyofanyika kwenye Makazi ya Mhe Makamu wa Rais Oysterbay, jijini Dar es Salaam, jana usiku Novemba 14, 2014. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Wahariri hao baada ya mazungumzo. Picha na OMR

KAMPUNI YA MAFUTA YA ENGEN YAANDIMISHA MIAKA 21 TANGU KUANZISHWA KWAKE


Wafanyakazi wa Kampuni ya Mafuta ya ENGEN Tanzania leo Novemba 14,2014 wameungana na wafanyakazi wenzao Barani Afrika kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 21 ya kuanzishwa kwa Kampuni hiyo,ambayo husherehekewa kila Mwaka ifikapo tarehe kama ya leo.Engeni ni Kampuni iliyojikita katika uuzaji wa Mafuta bora ndani na nje ya Tanzania,huku ikiendelea kujivunia kwa Ubora wake.Pichani ni Sehemu ya Wafanyakazi wa Kampuni hiyo ya Engen hapa nchini wakiwa kwenye picha ya pamoja nje ya jengo lao Kurasini jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya ENGEN Tanzania,Mubita Akapelwa (wa pili kulia) akikata keki wakati wa Kusherehekea Miaka 21 ya kuanzishwa kwa Kampuni hiyo,ambayo husherehekewa kila Mwaka ifikapo tarehe kama ya leo,iliyofanyika kwenye Makao Makuu ya Ofisi za Kampuni hiyo,Jijini Dar es Salaam.Katikati ni Meneja Masoko wa Kampuni hiyo,Shaaban Kayungilo.
Meneja Masoko wa Kampuni hiyo,Shaaban Kayungilo akichua kipande cha Keki iliyokatwa vyema na Dada Jullieth Lwato (alieshika sahani) wakati wa Kusherehekea Miaka 21 ya kuanzishwa kwa Kampuni hiyo,ambayo husherehekewa kila Mwaka ifikapo tarehe kama ya leo,iliyofanyika kwenye Makao Makuu ya Ofisi za Kampuni hiyo,Jijini Dar es Salaam.

Friday, November 14, 2014

HAYA NDIYO MAMBO YA KYLIGHT BAND.

Pichani Kutoka kushoto ni Bella Kombo akiongoza mashambulizi ya jukwaa akipewa sapoti na Digna Mbepera(katikati) na kwa mbaliiiii ni Aneth kushaba.
Kama kawaida yetu inapofika mwishoni mwa juma yaani Ijumaa huwa inakuwa ni siku ya furaha na kubadilishana mawazo, kupunguza stress za kazini.....paleee Thai Village Masaki.Kwenye Jukwaa Bendi yako matata na inayotikisa Tanzania na Jiji la Dar Skylight Band wanakuwa wanakupa burudani ya nguvu na iliyoenda shule.Karibu leo kuanzia saa 3 kamili usiku upate zile Afropop, Zouk, Lingala,Sebene, Reggae, Naija Flava na zingine kibao!
Aneth Kushaba AK 47 akizipiga vocal za kutoshaaaa ili kuwapa burudani wapenzi wa Skylight Band ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Bella Kombo akitia madaha yake na swagga kibao ndani ya Thai Village.
Digna Mbepera (Mtoto Mzuri) akiimba kwa hisia kali kuwapa ladha wapenzi wa Skylight band ndani ya Thai Village
Anaitwa Hashimu Donode mkali wao akizipiga zile vocal kaliiii na tamuuu kuwapa raha mashabiki wake ndani ya Thai Village
Wanamwita tamu ya warembo au Sukari ya warembo si mwingine ni Sam Mapenzi akizipiga zile Vocal lainiii za taratibu kuwapa raha mashabiki wake ndani ya Thai Village
Muziki ni hisia na hapa ndicho anachokifanya Aneth Kushaba hebu mtazame anavyoimba kwa hisia kali na Vitendo ili kuwapa raha mashabiki wake huku akipewa sapoti kwa mbaliiii na Digna Mbepera(katikati) na Bela Kombo wa mwisho kushoto.
Mikono kichwaniii,ahhh ahhhh majembe ya Skylight wakishambulia jukwaa kwa nguvuuuu
Joniko Flower baba ya congo akiongoza kushambulia huku akipewa sapoti na Sony Masamba(katikati) pamoja na Sam Mapenzi.
Mtia ladhaa mahiri wa Skylight akiwa anasahangaa kupata Ukodak kutoka kwa mpiga picha wetu,Huku mpiga drums Idrisa akichunguliaaa kwa mbaliiiii
Huyu jamaa ni muhimu sanaaa ndani ya Sklight Band anaitwa Daudi Tumba,akizipiga Tumba zake lazima ufurahie
Sam mapenzi (wa kwanza kulia) akiimba kwa upoleeeee kabisaaaa huku akipewa sapoti na Aneth Kushaba(katikati)na Digna Mbepera wa kwanza kushoto.
Yani weweee unanipaaa raahaaa sana ukiwa unaimbaaaa ni shabiki huyu akionyesha mapenzi ya kutoshaaaa kwa Hashimu Donode baada ya kukunwa na uimbaji wake.
Joniko Flower baba ya Congo akiongoza Vijana wake kushambulia jukwaaaa
Kama kawaida Skylight Band inavyowapenda mashabiki wake huwa kila Ijumaa shabiki anayesheherekea siku yake ya kuzaliwa hupewa nafasi ya kuimbiwa special Song na kusheherekea na mashabiki wake,Hahahaha si unaona mwenyeweeee hapoooo
Hapo sasa ni viuno, mabega, mikono inahusika kuweza kuyarudi.
20
Nyomiiiii la mashabikiiii wakifurahia muziki mzuriiiii.
22
Kikuku huyoooooo.....ana maringooo huyoooo...kwioooo kwiooooo..... Iyo inaitwaga kikukuu ni staili yenye rahaaaaa na utamu unapochezeshwa na Skylight Band.
23
Hiyo staili inaitwaaa sugua suguaaa achaaa ni hatariiiiiiiiii
Mratibu wa Skylight Band Rubeya akishow Love na Mashabiki ndani ya Thai Village
Sam Mapenzi akipata Ukodak na Shabiki wake
Skylight band Divas wakifurahia kuapata Ukodak mbele ya kamera yetu

BURUDANI FC YAINGIA NUSU FAINALI, YAIONDOSHA KILUVYA UTD KWA PENATI KWENYE DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP

10
KIKOSI CHA BURUDANI FC
11
KIKOSI CHA KILUVYA UTD......... 
4
Michuano ya DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP hatua ya robo fainali imeendelea leo kwenye uwanja wa bandari maeneo ya Tandika Mwembeyanga kwa kuzikutanisha timu za Burudani Fc ya Temeke mikoroshini dhidi ya Kiluvya Utd kutoka mkoani Pwani, mchezo huo umemalizika kwa timu hizo kushindwa kufungana baada ya dakika 90 ikabidi changamoto ya mikwaju ya penati itumike kumpata mshindi na timu ya Burudani ikafanikiwa kupata mikwaju minne dhidi ya miwili ya kiluvya,golikipa Abraham Abdallah wa Burudani alipangua penati moja ya kiluvya.    
9
Sehemu ya mashabiki wakitizama mpambano mkali kati ya Burudani na Kiluvya United.
Capture
Sehemu ya mashabiki wakitizama mpambano mkali kati ya Burudani na Kiluvya United.
1
SSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS 
8
Mbwiga mbwiguke kikazi zaidi....
6
Kocha wa Kiluvya United Yahaya Issa akitoa mawaidha wakati wa mapumziko . Yahaya Issa ni Kiuongo wa zamani wa vilabu vya YANGA NA MORO UTD...  
2
Sehemu ya mashabiki wakitizama mpambano mkali kati ya Burudani na Kiluvya United.
13
Sehemu ya mashabiki wakitizama mpambano mkali kati ya Burudani na Kiluvya United.