ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, July 11, 2014

THOMAS MASHALI KUZIPIGA NA MADA MAUGO NANE NANE KATIKA UWANJA WA TAIFA.


Rais wa TPBO Yassin Abdallah 'Ostadhi' akiwainua mikono juu mabondia Mada Maugo kushoto na Thomas Mashali baada ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kupambana Sikukuu ya Nanenane (8/8/2014) katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam wakati wa tamasha la usiku wa matumaini lililoandaliwa na kampuni ya global publisher. 
Mabondia Mada Maugo na Thomas Mashali wakitunishiana misuli baada ya kusaini mkataba wa makubaliano ya kupambana Agost 8 katika uwanja wa taifa Dar es salaam wakati wa tamasha la matumaini siku ya Sikukuu ya Nanenane lililoandaliwa na kampuni ya global publisher.
Rais wa TPBO Yassin Abdallah 'Ostadhi' kushoto akimkabidhi sehemu ya fedha kidogo bondia Mada Maugo  kwa ajili ya maandalizi ya mpambano wake na Thomas Mashali utakaofanyika Agost 8 katika uwanja wa taifa Dar es salaam wakati wa tamasha la matumaini siku ya Sikukuu ya Nanenane lililoandaliwa na kampuni ya global publisher.
Rais wa TPBO Yassin Abdallah 'Ostadhi' kushoto akimkabidhi sehemu ya fedha kidogo bondia Thomas Mashali  kwa ajili ya maandalizi ya mpambano wake na Mada Maugo utakaofanyika Agost 8 katika uwanja wa taifa Dar es salaam wakati wa tamasha la matumaini siku ya Sikukuu ya Nanenane lililoandaliwa na kampuni ya global publisher.
Mabondia Mada Maugo na Thomas Mashali wakitunishiana misuli baada ya kusaini mkataba wa makubaliano ya kupambana Agost 8 katika uwanja wa taifa Dar es salaam wakati wa tamasha la matumaini siku ya Sikukuu ya Nanenane lililoandaliwa na kampuni ya global publisher Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.