ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, May 2, 2014

JOSE CHAMELEONE APAGAWISHA MASHABIKI MWANZA NAYE APAGAWA AMWAGAFEDHA KWAO

Ni msanii Dr. Jose Chameleone kutoka nchini Uganda akiwa na mashabiki wake wakishow love na G. Sengo Blog katika usiku wa kuamkia leo ndani ya Villa Park Resort jijini Mwanza, ambapo msanii huyo alipiga show matata ambayo haijawahi kutokea kiasi cha kutii kiu za mashabiki wake waliojitokeza kwa idadi kubwa usiku huo.
Kila mmoja aliyetia timu hapa ndani alimkubali kwa kile alichokuwa akifanya.
Dah sipati picha engo za Ma-Instagram, Face Book na Twitter....zilijaaje mapix ya tukio...!!!!
Wimbo: "Jamila analia bwana wake amemuacha......!!"
Jose ana kwa ana na mashabiki wake!!
Battle hatariii!!
The zoom from behind.
Kutoka stage ilikuwa ni kazi nzito kupata picha, kwani kulikuwa full ile mbayaaaaaa na muvmenti zilikuwa si za kitoto!!!
Sing with me....!!
Lilipigwa Pose kisha track ya Tubonge ikafuatia....!!!
TUBONGE LIVE.
Shabiki huyu alipandwa na mzuka kiasi cha kupanda kwa stage kuonesha mavitu, kilichofuatia mara baada ya hapo ni Chameleone kuanza kumtunza na mihela! 
Hapa zilimwagwa fedha kiasi cha box kadhaa ikawa ni fursa ya kujizolea.
Chameleone na shabiki wake wakichukuwa U-Kodak kwa G. Sengo blog.

Wow oh my my......
Ulipopigwa wimbo wa BADILISHA nyomi ya akinadada ikavamia stage kucheza.
Somo limekubalika.
Hapa akizungumza na shabiki zake kwa lugha mama (Kiswahili)
DjZ'
Jose Chameleone (L) akipata picha ya pamoja na kiongozi wa bendi inayotumbuiza Villa Park, naizungumzia  Super Kamanyola mwanamuziki Roy Mukuna (C).

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.