Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza Stanslaus Mabula akizindua mfuko wa kuweka na kukopeshana ujulikanao kama Vikoba, kushoto anaonekana Rais wa Vikoba Tanzania Bi. Devota Likokola akihamasisha kuwa mfuko huosi kwa wananchi wa mijini tu bali hata vijijini.
Mstahiki Meya Mhe. Mabula ameahidi kuwapatia wadau hao wa Vikoba kuwapatia kiwanja kwa ajili ya kujenga ofisi. PICHA NA ZEPHANIA MANDIA.
KATIKA PICHA MAPOKEZI YA MWILI WA BALOZI DR KAMALA
-
Ni Simanzi kubwa mapokezi ya Mwili wa Balozi Kamala
Jeneza lenye Mwili wa mpendwa wetu
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mh Erasto Siima amewaongoza wananchi katika...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.