ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, March 22, 2014

WIKI YA MAJI ILIVYO AZIMISHWA MKOANI SIMIYU.

Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mabiti alizindua moja kati ya miradi ya maji kwa kujaza ndoo na kisha kumtwika Bi. Anna Jilala.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Chief Paschal Kulwa Mabiti akifungua rasmi daraja la mto Ngegemo
Wanakikundi cha Ngoma wakipalilia zao la pamba katika kijiji cha Senani wilayani Maswa.
Palizi likiendelea.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Paschal Mabiti akipata maelezo kutoka kwa bwana Lupande Nila jinsi ya kuandaa shamba hadi kulima zao la pamba katika karne hii ambapo ushindani wa ubora unazingatiwa katika soko la ndani na lakimataifa.
Mkuu wa Mkoa Akiwa katika bwawa linalosabaza maji wilayani Maswa lipo katika kijiji cha Zanzui  ikiwa ni kilele cha wiki ya maji.
Baseki wapo kazini wakitumbuiza ukiwa mkoani simiyu utakutana nao wanachapa kazi wala sio maaskari ni wazee kwa shughuli uspime
Mkuu wa mkoa wa simiyu akikagua mradi wa maji katika kijiji cha kilulu kata ya bunamhala wilayani bariadi.akiwa na mkuu wa wilaya ya Bariadi Erasto Sima.
Mmoja wa wanakijiji wa kijiji cha Isanga wilayani maswa akicheza na Nyoka katika uzinduzi wa daraja la mto ngegemo linalounganisha vijiji vya Isulilo na Ngongwa.
Mkuu wa mkoa wa simiyu akipata maelekezo kutoka kwa mhandisi wa maji wilaya ya Maswa. PICHA NA MWANDISHI WETU FAUSTIN FABIAN. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.