ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, February 15, 2014

TIGO YATAMBULISHA HUDUMA YA TIGO KILIMO NDANI YA KONGAMANO LA UWEKEZAJI KANDA YA ZIWA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal akipokea zawadi ya ya simu kwaajili ya kuzifurahia huduma mpya za Tigo kwa wakulima, aliyozawadiwa na Mkurugenzi wa Kanda ya Ziwa kutoka Tigo Bw. Ally Maswanya juzi wakati wa Mkutano wa Uwekezaji Kanda ya Ziwa unaomalizika leo jijini Mwanza.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal akizungumza na Mkurugenzi wa Kanda ya Ziwa kutoka Tigo Bw. Ally Maswanya juzi wakati wa Mkutano wa Uwekezaji Kanda ya Ziwa unaomalizika leo jijini Mwanza.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal akisalimiana na mmoja wa maafisa wa Tigo makao Makao Makuu Irine Kiwia, mara baada ya kutembelea banda la Tigo na kubainishiwa huduma mbalimbali zilizoingia sokoni ikiwepo huduma ya mtandao wa internet inayojulikana kwa jina la TIGO KILIMO ambayo kwayo mkulima anapata fursa ya kujua bidhaa na pembejeo mbalimbali za kilimo anazo hitaji ikiwemo bei ya manunuzi kwa pembejeo hizo pamoja na maduka, huduma za waghani (maafisa kilimo), masoko na kadhalika. 
Mkurugenzi wa Kanda ya Ziwa kutoka Tigo Bw. Ally Maswanya akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kufafanua huduma mbalimbali za TIGO hususani huduma mpya ya TIGO KILIMO wakati wa Mkutano wa Uwekezaji Kanda ya Ziwa unaomalizika leo jijini Mwanza.


Mkurugenzi wa Kanda ya Ziwa kutoka Tigo Bw. Ally Maswanya (wa pili kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walio shiriki Mkutano wa Uwekezaji Kanda ya Ziwa unaomalizika leo jijini Mwanza.


Japo kiduchu na moja ya engo, maadhari ya nje ya Banda la Huduma za Tigo katika viwanja vya Hoteli Malaika jijini Mwanza.
Press Release
Tigo joins effort to lure investors to Lake Zone regions 
Mwanza, 13th February 2014 - The lake zone, home to six resource rich regions in Tanzania has the potential not only to be the country’s economic hub but East Africa’s if proper investment plans are made to tap the vast economic potentials present.   

This was said by Tigo Lake Zone Region Director Ally Maswenya yesterday at the ongoing Lake Zone Region Investment Forum taking place in Mwanza.

“With the abundance of natural resources that the regions of Simiyu, Mwanza, Shinyanga, Kagera, Geita and Mara have to offer, there is no reason why we cannot turn this region into an economic hub for not only Tanzania but the entire East African Community,” he said. “However, this can only be done if we provide the proper infrastructure for investment, without forgetting the importance and key role of telecommunications,” Maswanya said.

Tigo, he said, is delighted to support the Lake Zone Investment Forum because it will provide an important opportunity for dialogue and knowledge exchange on the existing investment opportunities in the region.
“Bringing international and local investors together to debate partnership and investment opportunities is more critical than ever for those looking to expand successful businesses in the current business climate of the Lake Zone and East African integration,” he said.

Meanwhile, Mwanza Regional Commissioner and Chair of the Forum Mr. Ernest Ndikilo, has paid tribute Tigo for being the main sponsor of this year’s event which hedescribed a right move towards unlocking the region’s economic potentials.

“Thisthree-day conference is a unique opportunity for our region as it brings together various strategic partners whom we believe will help us set an investment agenda for the lake regions,” Ndikilo said.
Tigo is recognized as an important telecom provider in the lake zone region with significant infrastructure and innovative affordable services and products. It is leading the delivery of digital lifestyle and content solutions across the country through its digital migration focus. 

In recent years, the company has made massive expansion programs in the market which include investing heavily on the network, opening up points of sale countrywide and conducting staff training program. These efforts, according to Maswanya, have enabled the telecom company to significantly improve the quality of its services and broaden its customer subscription base.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.