Matukio maarufu ya mvutano katika msikiti wa Al-Aqsa
-
Kwa miaka mingi, polisi wa Israel wamehusika katika maamuzi ya kufunga na
kufungua milango ya Msikiti na kuweka vikwazo
31 minutes ago
Daladala iliyogongwa na basi la Ally's. |
Mwonekano wa dalaldala kwa nyuma. |
Basi la Ally's lililoigonga daladala na kusababisha vifo vya watu 9. |
Basi la Bunda Express lililomgona mwendesha baiskeli. |
Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu,Mama Regina Lowassa akishiriki kuhudumia chakula watoto wenye ulemavu katika Kituo cha Huduma ya Walemavu kinachomilikiwa na Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha kilichopo Monduli wakati alipokwenda kushiriki nao Ibada ya X-Mass pamoja na kuzungumza na kula nao chakula cha mchana. |
Wakazi wengi wa eneo hili ni wakulima na wafugaji.. nazo wachuuzi wa pembejeo wameziona Fursa. |
Pancha... |
Pilika pilika za mashineni.... |
Kibanda cha muuza nguo za mitumba aka pamba, lakini leo hayupo kaenda kuchukua mzigo. |
Mwenyekiti yupo? |
Waziri wa ujenzi John Pombe Magufuli akitoa mkono wa pole kwa familia ya Marehemu Mabina. |
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Injinia Evarist Ndikilo akito salamu za rambirambi kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete kwenye ibada ya mazishi ya Mabina. |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu Steven Wasira akitoa salamu za rambirambi. |
Sehemu ya wanafamilia na viongozi wa Vyama vya siasa na serikali wakishiriki ibada ya mazishi. |
Ni sehemu tu ya waombolezaji waliofika katika viwanja vya Red Cross kushiriki ibada hiyo. |
Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza Joyce Masunga akitoa salamu za rambirambi. |
Mbunge wa Jimbo la Magu naye alitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya wananchi wa jimbo hilo. |
Mkuu wa wilaya ya Magu Jackline Liana akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya kamati ya ulinzi na usalama wilayani humo. |
Huku akibubujikwa na machozi na kuangua kilio, Mbunge wa Jimbo la Magu Festus Limbu akimpa mkono wa pole mjane wa marehemu Mabina. |
Katibu wa uhamasishaji wa Chipukizi UVCCM Taifa Paulo Makonda akiwasilisha salamu za rambirambi. |
Askofu Mstaafu wa kanisa la AICT Paulo Nyagwaswa naye alipata fursa ya kutoa neno kwa maelfu ya waombolezaji waliojitokeza leo kwenye ibada hiyo ya mazishi. |
Sehemu ya makada wa Chama cha Mapinduzi. |
Ulinzi na utaratibu ulizingatiwa na kamati ya mazishi. |
Ni moja kati ya eneo la mti wa historia ndani ya viwanja hivyo ambapo baadhi ya waombolezaji waliketi wakifuatilia mwenendo wa ibada. |
Kusalimiana na kupeana pole kwa viongozi. |
Umati ukisubiri kuuaga mwili wa marehemu Mabina. |
Uwanjani ilikuwa hivi. |
Kutoka juu. |
Ndugu wa karibu na marehemu wakiongozwa na baadhi ya watawa kutoka eneo la ibada ya mazishi tayarikuelekea eneo la maziko kitongoji cha Kanyama. |
Mbunge Chenge akitoa ushuhuda kwa wanahabari alivyomfahamu marehemu mabina. |
Mkurugenzi wa Global Publisher Erick Shigongo akimwelezea marehemu Mabina. |
Bodaboda nazo zilitoa huduma ya usafiri. |
Sasa ni safari kuelekea makaburini. |
Msafara. |
Mwili wa marehemu Mabina ukiwasili eneo la maziko kitongoji cha Kanyama. |
Ibada ya mwisho kabla ya mazisho eneo la kaburi. |
Jeneza la mwili wa marehemu Mabina likishushwa kwenye nyumba yake ya milele. |
Viongozi wakiongozwa na Mh. Magufuri wakiweka mchanga kwenye kaburi. |
Mh. Wasira na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilemela Henry Matata wakiweka mchanga kwenye kaburi la marehemu Mabina. |
Mjane wa marehemu Clement Mabina, Bi. Judith Mabina akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu mumewe. |
Vijana. |
Kumbukumbu. |
Kwaheri Clement Mabina, Tunakuombe rehema za Mwnyezi Mungu upumzike kwa amani. |