ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, December 6, 2013

KIDUMU AWASILI TZ KWA SHOO YA TTC "CLUB E" ITAKAYOFANYIKA LEO MLIMANI CITY

1.      Ticket zinauzwa katika vituo vifuatavyo; Samaki Samaki (Mlimani City na Samora), Engen Petrol Station (Mbezi na Mikocheni), TCC Club Chang’ombe, Rose Garden, Shoppers Supermarket (Mikocheni na Masaki) na Dar West Park Tabata.

2.      Kwa Maelezo Zaidi kuhusu Event na Ticket piga simu… 0787 33 33 15
Msanii kutoka nchini Burundi, Jean Pierre “Kidumu” akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julias Nyerere jana usiku kuja kutumbuiza katika Shererhe ya  “CLUB E”- LICENCE TO PARTY  inayotarajiwa kufanyika usiku wa leo katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Gari iliyombeba msanii kutoka nchini Burundi, Jean Pierre “Kidumu”.
“CLUB E” PRESENTS…….. LICENCE TO PARTY!!
Mlimani City Hall – Leo Hii Ijumaa!.
Msanii kutoka nchini Burundi, Jean Pierre “Kidum”(kulia) akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julias Nyerere jana usiku kuja kutumbuiza katika Shererhe ya Kampuni ya Sigara Tanzania(TCC) “CLUB E” inayotarajiwa kufanyika leo katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.Kushoto ni mwenye wake, Ather.
Msanii kutoka nchini Burundi, Jean Pierre “Kidum” (katikati) akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julias Nyerere jana usiku na waimbaji wake kuja kutumbuiza katika Shererhe ya Kampuni ya Sigara Tanzania(TCC) “CLUB E” inayotarajiwa kufanyika leo katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.