ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, November 1, 2013

HIVI NDIVYO SIMBA SC. WALIVYOGEUKA AL-SHABAAB UWANJA WA TAIFA JANA

Mmoja wa mashabiki wa Klabu ya Simba SC. akishushwa jukwaani na Askali wa Usalama baada ya kusababisha fujo iliyopelekea kung'oa viti zaidi ya 50 na kuwatupia askali hao ambao walikuwa wakiwatuliza ili wasiendelee kuleta fujo iliyotokana na penaliti waliyopewa wapinzani wao uwanjani hapo jana kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo walikuwa wakipambana na timu ya Kagera Suger na uliomalizika kwa sare ya 1-1.
Askali Polisi wakijaribu kutumia uwezo wao katika kuwatawanyisha baadhi ya mashabiki wa Klabu ya Simba SC.baada ya kuzua tafrani iliyotokea baada ya mwamuzi wa mchezo huo kuruhusu penati ipigwe na timu ya Kagera Suger,ikielekezwa langoni mwa Simba.
PICHA ZAIDI BOFYA http://mateja20.blogspot.com/

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.