ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, June 11, 2013

AIRTEL YAKUTANA NA WAHARIRI WA HABARI ZA MICHEZO KUJADILI NAMNA YA KUBORESHA MICHUANO YA AIRTEL RAISING STARS


Meneja Mahusiano wa Kampuni ya simu za Mkoni ya Airtel Tanzania , Jackson Mmbando akizungumza na wahariri wa habari za Michezo   wakati wa hafla iliyoandaliwa na Airtel Tanzania jijini Dar es Salaam ili kubadilishana mawazo juu ya namza nzuri ya kuboresha michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Raising Stars. 

Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Sunday Kayuni akizungumza na wahariri wa habari za michezo (Hawapo pichani) wakati wa hafla iliyoandaliwa na Airtel Tanzania jijini Dar es Salaam ili kubadilishana mawazo juu ya namna nzuri ya kuboresha michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Raising Stars.

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania , Beatrice Singano akizungumza na wahariri wa  habari za michezo (Hawapo pichani) wakati wa hafla iliyoandaliwa na Airtel Tanzania jijini Dar es Salaam ili kubadilishana mawazo juu ya namza nzuri ya kuboresha michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Raising Stars

Baadhi ya wahariri  wa habari za michezo wakisikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Mawasiliano wa  Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania   Beatrice Singano wakati wa hafla iliyoandaliwa na Airtel Tanzania jijini Dar es Salaam ili kubadilishana mawazo juu ya namza nzuri ya kuboresha michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Raising Stars.

Wahariri  wa vyombo vya habari za michezo wakishiriki hafla iliyoandaliwa na Airtel Tanzania jijini Dar es Salaam ili kubadilishana mawazo juu ya namza nzuri ya kuboresha michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Raising Stars.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.