ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, March 13, 2013

BREAKING NEWS: MOSHI MWEUPE WAFUKA VATICAN, PAPA MPYA NI KUTOKA AGENTINA CARDINAL JORGE BARGOGLIO ATAITWA PAPA FRANCIS

Hatimaye hivi punde moshi mweupe umefuka, kengele zimelia kuashiria Kiongozi mpya wa 266 wa Kanisa Katoliki duniani amekwisha chaguliwa (Papa kapatikana) kilicho bakia kwa sasa ndani ya jumba hilo Papa huyo anaulizwa maswali kama yuko radhi kutumikia nafasi hiyo ndipo atatolewa nje akiwa na jina jingine nao watu waliofurika nje ya jumba hilo la himaya ya papa wapate kumuona.... Nini hatma ya shughuli nzima? Basi fuatilia video hii hapa chini kwa kilichotokea.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.