ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, March 15, 2013

BANDARI YAITAFUNA FALCON 2-0 LIGI KUU ZANZIBAR

Mchezaji wa Falcon (kulia) akimkwatua mshambuliaji wa Bandari katika pambano la ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar kati ya Bandari na Falcon kwenye uwanja wa Amaan mjini Zanzibar jana. Bandari iliisambaratisha Falcon mabao 2 - 0..


Mlinzi Rashid Omar wa Bandari (kulia) akimzuia mshambuliaji wa Falcon, Mbarouk Marshed asiende na mpira katika pambano la ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar kati ya Bandari na Falcon kwenye uwanja wa Amaan mjini Zanzibar jana. Bandari iliisambaratisha Falcon mabao 2 - 0.
Picha zote na Martin Kabemba.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.