ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, March 26, 2013

BAADA YA KUIKUNG'UTA MOROCCO TANZANIA YANG'ARA KWENYE KURASA ZA MAGAZETI NCHINI ITALIA.



Mdau wangu toka Facebook anaandika
#Sports NEWS: MARCH 26: Baada ya TAIFA STARS kuwafunga MOROCCO juzi jumla ya magoli 3-1 leo hii imekuwa gumzo katika vyombo mbali mbali vya habari ikiwemo Magazeti ya hapa nchini ITALY. Na moja ya Gazeti lililotoa taarifa ya TAIFA STARS kufanya vizuri ni hili hapa chini na nimaarufu sana nchini ITALY kwa utoaji wa habari za Michezo. Gazeti hili linaitwa LA GAZZETTA DELLO SPORT. Tazama ushahidi wa picha ya wachezaji wa TANZANIA (TAIFA STARS) wakishangilia ushindi baada ya kutupia bao la 3. 

Kiukweli wamezungumza mengi sana na na mojawapo ya mambo waliozungumzia ni kukua kwa Socer letu la Tanzania kwa ushindi huu mkubwa tulioupata nyumbani na pia wameupongeza uwanja wetu kuwa niwakimataifa kwa uzuri wake pamoja na uwezo mkubwa wa kubeba watu zaidi ya Elfu 50. 
Big up  Tanzania tupe raha ili magazeti yazidi kutunadi #
CEO wa G Sengo Blog na Mbwana Samatta.

QUALIFICAZIONI AI MONDIALI 2014 - AFRICACLASSIFICHE E RISULTATI


GRUPPO C
COSTA D'AVORIO-GAMBIA 3-0 [49' rig. Wilfried, 59' Y.Tourè, 70' S.Kalou] - Tutto facile per gli 'elefanti', che liquidano con un secco tris la pratica Gambia. Apre le marcature un calcio di rigore di Wilfried a inizio secondo tempo, raddoppio del 'citizen' Yaya Tourè e terza rete di Salomon Kalou che mette in cassaforte la vittoria.

TANZANIA-MAROCCO 3-1 [46' Ulimwengu (T), 67' Samata (T), 80' Samata (T), 90' El Arabi (M)] - Vittoria a sorpresa per la Tanzania che, battendo il più quotato Marocco, si conferma al secondo posto del Gruppo C a -1 dalla Costa d'Avorio. Gara senza storia con Ulimwengu e doppio Samata che hanno chiuso in anticipo la pratica. Inutile nel finale il goal della bandiera di un Marocco in dieci segnato da El Arabi.


Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.