ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, February 7, 2013

ZAIDI YA MASIKIO YA WATANZANIA MILLIONI 40 NA WADAU WENGINE NCHI MBALIMBALI DUNIANI WAISUBIRI KWA HAMU AMLIFAYA YA LEO (ALHAMISI) KUSIKIA KAULI YA BABU, NINI HATMA YA KIKOMBE CHAKE.


Host wa kipindi cha Amplifaya akifanya mahojiano na Babu wa Loliondo Ambilikile, mpango mzima tutaupata leo (alhamisi) ambapo ile kiu ya maswali yote tuliyokuwa nayo inakwenda kupata tiba....ha-haaa ... tiba ya kikombe au...!!? Usiogope majibu ni leo, leo kuanzia saa moja usiku ndani ya Clouds fm.
Kwa sasa msikilize Babu wa Loliondo kwenye hiyo promo yake hapo chini.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.