Mpiga bass wa bendi kongwe nchini Msondo Ngoma 'Baba y a Muziki' , Ismail Mapanga amefariki dunia siku ya jumatano ya wiki hii katika hospitali ya Temeke. Kwa mujibu wa kipindi cha Saturday Bonanza cha Clouds fm watangazaji wakiwa ni Suzzy Bartazar na Ben Kinyaiya taarifa zinasema kuwa Mapanga alianza kuumwa wakati bendi ikiwa safarini katika safari yao mkoani Tabora iliyofanyika hivi karibuni, taratibu za mazishi tayari zimekwisha fanyika. Bofya play Sikiliza
Mwenyezi Mungu ilaze mahali pema peponi roho ya marehemu, Amina.
KATIKA PICHA MAPOKEZI YA MWILI WA BALOZI DR KAMALA
-
Ni Simanzi kubwa mapokezi ya Mwili wa Balozi Kamala
Jeneza lenye Mwili wa mpendwa wetu
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mh Erasto Siima amewaongoza wananchi katika...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.