Matukio maarufu ya mvutano katika msikiti wa Al-Aqsa
-
Kwa miaka mingi, polisi wa Israel wamehusika katika maamuzi ya kufunga na
kufungua milango ya Msikiti na kuweka vikwazo
21 minutes ago
Rais wa shirikisho la soka hapa Nchini (TFF) Leodiger Tenga akitoa salamu za shirikisho. |
Makongoro Nyerere ambaye ni mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Julius Kambarage Nyerere. |
Heshima za mwisho. |
Michael Wambura mdau wa soka. |
Mhe. Nimrod Mkono Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini. |
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Musoma mjini Mussa Matoroka akiweka shada la maua kwenye kaburi. |
Mkuu wa Mkoa wa Mara John Tuppa ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Mara akiweka shada la maua kwenye kaburi. |
Majaji wa Epiq Bongo Star Search, kutoka kushoto ni Master J, Madam Ritha na Salama Jabir katika usaili wa Mwanza, ndani ya uwanja wa CCM Kirumba |
Mmoja wa washiriki wa Epiq Bongo star search akisailiwa Mwanza |
Mshiriki wa BSS Mwanza akisailiwa |
Judges wa Epiq Bongo Star Search, Kutoka kulia Salama, Ritha, Master Jay |
Foleni ya Vipaji vya BSS ikijiandaa kusailiwa ndani ya uwanja wa CCM Kirumba |
Umati uliojitokeza wengine wakisuburi usaili wengine wasindikizaji ndani ya uwanja wa CCM Kirumba |
Hili ni eneo la kujiandikisha |
Washiriki waliojitokeza leo uwanja wa CCM Kirumba mchakato wa EBSS. |
Mmoja au kadhaa kati ya hawa kuitwaa nafasi... |
Subiri mpango mzima utaonekana sebuleni kwako .. Wataalamu wakiwa kazini kuzichukuwa engo kutoka kulia ni Nickson (mchanganya picha), Alex (director) na mtaalamu wa sauti Said. |
Mtangazaji wa Barmedaz Tv Steve Bugumba akifanya mahojiano ya live na moja wa washiriki EBSS Mwanza. |
Picha ya pamoko Aloyce Nyanda aka Van B (C) akiwa na majaji wa EBSS Master Jay na Salama |
Caesar Daniel wa Clouds Tv na Oficial Presenter wa Epic Bongo Star Search 2012 akiwa na Yusuph Mussa ambaye ni Cordinator kutoka Barmedaz Tv Mwanza akishow love na kamera ya blog ya G. Sengo |
Vijana mbalimbali waliojitokeza leo wakiwa kwenye foleni kwaajili ya kuingia chumhga cha usaili kwenye uwanja CCM Kirumba jijini Mwanza. |
Baadhi ya wacheza shoo wa kundi la Questions Crew wakizungumza machache mara baada ya kukabidhiwa kitita chao cha shilingi milioni moja |
Watu mbalimbali wakifuatilia shindano hilo. |
Kundi la Sweet Girls likionesha umahiri wake kucheza kwenye shindano la kulisaka kundi kinara la Serengeti dance la Fiesta 2012 |
Kundi la Questions Crew likicheza kouwania kitita cha milioni moja kilichotolewa na kampuni ya bia ya Serengeti sambamba na kreti moja ya bia. |
Mdau Thomson akikata kiu yake safi kabisaa. |
Palikuwa hapatoshi leo ndani ya ukumbi wa Lakasachika. |
Macho mbeeeeele... |
Pichani juu na chini Sehemu ya wakazi mbalimbali wa jiji la Tanga waliojitokeza kushuhudia shindano hilo lilovuta hisia za vijana wengi |
Mmoja wa majaji wa shindano hilo B Dozen akifafanua jambo wakati wa kumsaka kinara wa mashindano hayo kwa mkoa wa Tanga. |
Maujuzi na maufundi.. |
Mmoja wa majaji wa shindano hilo Isakwisa Thomson akifafanua jambo wakati wa kumsaka kinara wa mashindano hayo kwa mkoa wa Tanga. |
Majaji wa Bongo Star Search 2012, Master Jay, Madam Ritha na Salama Jabir wakiwa studio za RFA Ilemela jijini Mwanza hii leo. |
Madam Ritha na Master Jay ndani ya Studio za RFA |
Mtangazaji wa RFA Sam Davis Kiama aka 'Uncle Sam' |
Madama Ritha na Master Jay |
Madam Ritha na Salama Jabir |
Master Jay, Madam Ritha na Salama Jabir |
Madam Ritha, Kisali Simba wa Star TV na Salama Jabir |
Jopo la Majaji wa BSS, Master Jay, Madam Ritha na Salama Jabir wakiwa studio za Star TV |