ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, October 30, 2012

MTANZANIA KATIKA NDONDI NCHINI AFGHANISTAN



Afghanistan inaandaa pigano la kwanza kuwahi kufanyika nchini humo huku kukiwa na ulinzi mkali sana.

Hamid Rahimi, na mshindani wake
kutoka Tanzania,
 Said Mbelwa
Masumbwi hayo yanayohusisha wanamasumbwi wa uzani wa middle, yenye kauli mbiu ya ''kupigania amani'' yatapeperushwa moja kwa moja kupitia televisheni.
Mamilioni ya waafghanistan wanatarajiwa kutizama mchuano huo kati ya bingwa wa ndondi nchini Afghanistan, Hamid Rahimi, na mshindani wake kutoka Tanzania, Said Mbelwa.
Ndondi ziliharamishwa nchini Afghanistan mwishoni mwa utawala wa Taliban.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.