ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, June 7, 2012

VIGEZO NA MASHARTI TUPA KULE....!!!!

Wakati wabongo wengine nchini wanavaa viatu vya kuanzia laki moja kwenda juu, wengine wanatembea peku mpaka miguu inaota magwambala aka machacha yenye kukuwezesha hata kuficha sarafu.. Kabla ujajiuliza kuhusu hatma za vyandarua na mashuka vipi kama utalala mzungu wa nne na ndugu huyu kisha ikatokea akapitisha kwa bahati mbaya unyayo wake usoni kwako yaaani ile raaaa!! (ya kuparura) uTajisIKiAJE?

Tupe maoni yako

1 comments:

  1. Kaka huyo mtu anapatikana wapi?Na anavaa viatu size Gani?Ningependa kumtafutia viatu kama naweza kupata maelezo zaidi.Ubarikiwe.

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.