ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, June 7, 2012

SUPER D AENDEREA KUWAFUA MABONDIA WA KAMBI YA ILALA KWA AJILI YA MPAMBANO WA 10BORA JUNE 15


Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimwelekeza jinsi ya kutupa makonde bondia Said Mtitu wakati wa mazoezi yanayoendelea katika Kambi ya Ilala Dar es salaam jana ya kujitaharisha na mashindano ya kumi Bora yatakayofanyika june 15 katika ukumbi wa Panandi Panandi Ilala Bungoni.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.