Rais Jakaya Kikwete akimwapisha rasmi Balozi Yohana Sefue kuwa Katibu Mkuu Kiongozi katika hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akisisitiza jambo kwa viongozi wakuu, Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal (wa tatu kulia), Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (wa pili kulia), Katibu Mkuu Kiongozi mpya, Balozi Ombeni Sefue (wa pili kushoto) na Katibu Mkuu Kiongozi aliyemaliza muda wake, Phillemon Luhanjo muda mfupi baada ya kumwapisha Balozi Ombeni Sefue kuwa Katibu Mkuu mpya, Ikulu, Dar es Salaam. (Picha na Fadhili Akida).
JELA MIAKA 25 KWA KUKUTWA NA KILO 107.29 ZA BANGI
-
Na Mwandishi wetu Morogoro
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, kanda ya Morogoro imemuhukumu John Mwasikili
kutumikia kifungo cha miaka 25 gerezani baada ya kutiwa ...
1 hour ago