ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, December 24, 2011

BENKI YA FBME MWANZA YASABABISHA TABASAMU KWA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU

Ili kuleta furaha na tabasamu kwa watoto waioshio kwenye mazingira magumu Benki ya FBME kupitia tawi lake la Mwanza jana imekabidhi msaada wa vyakula kama vile mchele, maharagwe, mafuta ya kujipaka, mafuta ya kula na sabuni kwa kituo cha kulea watoto yatima cha Amani Girls Home.Wafanyakazi wa benki ya FBME tawi la Mwanza Joan Chovenyi (L) na Anna Lupemba (R) wakikabidhi msaada huo kwa Agripina John ambaye ni meneja wa kituo.

Joseph Gwalugano Branch manager wa benki ya FBME tawi la Mwanza akikabidhi msaada kituo cha kulelea watoto waishio mazingira magumu.

Mwenyekiti wa bodi kituo cha kulea watoto yatima jinsi ya kike cha Amani Girls (L) bw. Fabian Marugu akipokea msaada wa mafuta toka kwa mfanyakazi wa FBME Bank tawi la Mwanza Peter Nkenguye.

Shukurani na kupeana moyo kwani jukumu la malezi ni letu sote..

Picha ya pamoja wadau wa benki ya FBME, Uongozi wa Kituo cha Amani Girls na watoto walio wawakilisha wenzao toka kituoni hapo.

"Hivi ndivyo inavyotupasa kurejesha sehemu ya faida kwa jamii" says Wafanyakazi FBME Bank Mwanza.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.