ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, September 24, 2011

VITU ADIMU......!!!!

Ni mchana majira ya saa saba na dakika 45 wanafunzi wa moja ya shule kata ya Isangijo Wilayani Meatu wakitoka kuteka maji umbali wa kilometa tano kwaajili ya matumizi kwa nyumba ya mwalimu.

Mawasiliano yakitafutwa eneo la mwinuko.

Mawasiliano yamepatikana.

Chakula mashuleni.

tathimini zinaonyesha kuwa ni ukweli usiofichika mradi wa chakula mashuleni umechangia kunyanyua kwa kiwango kikubwa mahudhurio ya watoto.

Usafiri.

Pozi la akina mama walojaa furaha.

Supu time katikati ya sherehe.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.