ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, September 18, 2011

BREAKING NUUZ: MOTO WATEKETEZA SOKO DOGO LA FOREST MAGHOLOFANI JIJINI MBEYA USIKU WA KUAMKIA LEO

Moto wateketeza soko hilo lililopo Forest ya zamani karibu na Chuo cha Mzumbe na Chuo Kikuu huria Jijini Mbeya

Moto ulianza majira ya saa 9:00 kamili usiku na Zimamoto walifika saa 9:10 na kufanikiwa kudhibiti moto huo ambao umeteketeza vibada kadhaa na kusababisha hasara kubwa.

Mtandao huu umefanikiwa kukuta baadhi ya masalia ya vibanda yakifuka moshi.

Mkuu wa wilaya Bwana Evans Balama asaidia kuzima Moto huo, lakini wadau wanajiuliza kunani katika masoko ya Mbeya na kwanini tahadhari hazichukuliwi

Picha zote na Latest News Tz

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.