ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, July 21, 2011

MRISHO NGASA V/S MANCHESTER UNITED.

Seattle Sounders wamekubali kichapo cha mabao 7-0 toka kwa Manchester Utd, Wayne Rooney akifunga mabao 3, Michael Owen, Biram Mame Diouf, Park Ji Sung, Gabriel Obertan wakifunga bao moja moja.

Last night in Seattle he hit a 21-minute hat-trick that proved if there was any cobwebs from his summer holidays they have been very quickly blown away.

The last time we saw him scoring was in the Champions League Final at Wembley against Barcelona before 87,695 fans. This time it was in the less familiar surroundings of Seattle Seahawks NFL stadium CenturyLink Field in front a crowd of 67,052.

But Rooney would not mind if it was a park back in Croxteth before a man and his dog.
He just loves playing football and loves scoring goals — no matter where he is. Rooney came on as a substitute at half-time and within six minutes he was on target.

Nani was the supplier, sliding a ball across the box for Rooney to side-foot into the roof of the net.


Mtanzania Mrisho Ngassa aliyeingia dakika 12 za mwisho wa mchezo almanusura aifungie Sounders bao la kufutia machozi lakini mpira wake ulitoka juu ya lango la Manchester United.

Pichani Shaffih Dauda ambaye ni Mtangazaji wa kipindi cha michezo Radio Clouds 'Sports Extra' na Clouds Tv 'Sports Bar' akiwa kwenye pozi na miamba ya Mashetani wekundu.
Kwa habari zaidi tembelea www.shaffih.blogspot.com

Tupe maoni yako

3 comments:

  1. kaka nimekukubali...mimi ni mmoja wa mashabiki wa kubwa wa kipindi cha Sports Extra na vipindi vingi vya clouds....ila Shaffih wewe huna uzalendo kabisa na timu zetu za bongo....pia unapenda kuchanya lugha sana wakati wa vipindi vyako..tumia lugha moja utaeleweka vizuri tuuu..nakumbuka kabla ya mechi ya tz na cameroon hapa bongo ulikiri kabisa jamaa watatufunga...lakini Mungu si athumani tuka draw...watch out man......tunamachungu na soka letu ipo siku tutatoka tuu....

    ReplyDelete
  2. typical photoshop!

    ReplyDelete
  3. kaka mimi napenda sana tujue soka letu linakuwa kwa kiasi gani ingawa hatupati sana taarifa juu ya watoto walio katika Academy mbalimbali za nje zaidi Bolton,vipi pia kuhusu wachezaji wakulipwa kama Said Maulid SMG. nyie ndio wenye tochi ya kumulika wote tunaowatambua wanaweza kuleta mchango kwenye soka la TZ.

    Alex Limwagu aka Aj.Lim

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.