ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, June 9, 2011

NI KIPINDI CHA MAPUMZIKO NA TIBA ZA UFUKWENI KWA WAKALI WA PREMIUM- ENDLAND

Water passionate kiss ... John Terry na mkewe aitwaye Toni.
The Chelsea defender's marriage was once in crisis after he allegedly bedded team-mate Wayne Bridge's ex-girlfriend Vanessa Perroncel.

Having a ball ... John Terry and wife Toni hand-in-hand, But Toni, 29, has clearly forgiven her hubby, 30. She wrapped her legs around him as their kids played on the beach in Abu Dhabi.

Nae mkali wa England anayekipiga Manchester united Wayne Rooney katika kipindi hiki cha mapumziko yeye amekitumia kwa kutinga saluni kuotesha nywele katika para linalomnyemelea la kichwa chake.
Akifanya zoezi hilo kwa siri katika saluni moja maarufu ya mtaa wa Harley jijini London inatonywa kuwa ametumia zaidi ya shilingi milioni 20 za kibongo kukamilisha azma yake hiyo.

Katika zoezi hilo la teknolojia ya kisasa Rooney(25) alipandikizwa maelfu ya nywele katika kichwa chake kilichokuwa na upara wa asili uliomfanya aonekane sawa na mzee wa miaka 65, madaktari wakieleza kuwa nywele hizo zitakuwa kama nywele za kawaida.


Roo lucky pair ... Wayne's akiwa na mkewe Coleen(25) amejumuika na mshambuliaji wa Liverpool, Andy Carroll pamoja nae kocha wa Aston Villa Gary McAllister wa wakienjoy ufukweni.

ALIYEKOSEKANA;Ryan Giggs ni mkali mwingine aliyekosekana kushea upepo huu mtamu unao tumiwa na wengi kama sehemu ya kukoleza mahusiano na wapenzi wao kwani hata kiungo wa Chelsea na Timu ya taifa ya England Frank Lampard nae alionekana katika moja ya fukwe za Las Vegas akiwa na mpenzi wake anayetaraji kufunga ndoa nae hivi karibuni.

Mkali Giggs yuko katika kikaango akikabiliwa na skendo ya aibu ya uhusiano wa kimapenzi na mke wa mdogo wake, mwanamama Rhodhi waliyefunuana nguo kwa kificho kwa kipindi cha miaka nane mpaka hivi majuzi kiliponuka.


Kwa hisani ya jarida la thesun

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.