ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, June 25, 2011

MISS MWANZA USIKU HUU NDANI YA GOLD CREST

LEO jiji la Mwanza linakwenda kupata mwakilishi katika barangeni la tasnia ya ulimbwende nchini, mshindi ambaye atajumuika na washiriki wengine kwenye kinyang'anyiro cha miss Lake zone na hatimaye lile kubwa Vodacom Miss Tanzania.

Mkurugenzi wa Clouds Ruge Mutahaba, Zamaradi Mketema, Msanii Mwasiti na Reuben Ndege nao ni moja kati ya mashuhuda usiku huu.

Vazi la ufukweni linaendelea kuchukua nafasi.

Katika pozi tofauti tofauti wakazi wa Mwanza waliobahatika kuingia ukumbini hapo kwani kuna wengine wengi waliamua kuishia mlangoni kutokana na kukosa nafasi juu ya nyomi lilokuwamo ndani.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.