ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, January 14, 2011

FLY540 YAZINDUA SAFARI ZAKE MWANZA.

Mkuu wa wilaya ya Ilemela Said Amanzi akizindua rasmi safari za ndege ya shirika la FLY540 leo katika uwanja wa ndege wa Mwanza.

FLY540Tanzania itaanza rasmi safari zake kati ya Dar es Malaam na Mwanza siku ya jumatatu tarehe 24.jan.2011 ambapo itatoa huduma zake kila siku kasoro siku ya jumamosi tu.

FLY540Tanzania aim to play a leading role in the expansion of air travel service in Tanzania and the Eastern and Central African Region as a whole. The company's objective is to deliver value for money without compromising on safety and quality. It provide cheaper fares so that travel becomes affordable for more people.

Time for Kata fumua pilipili and test tube masala.

FLY540Tanzania, yenye ofisi zake kuu jijini Dar es Salaam zinapatikana Samora Avenue na matawi yake Arusha ni India Street jengo la Blue Plaza ile hali Mwanza Posta Road.

Suka wa jidege hilo lenye kutumia muda wa saa moja na dakika kumi kwa safari ya Dar-Mwanza, uwezo wa kubeba abiria 50 ni Kapteni Richard Shivogo(32).

Burudani ya ngoma asili kabila la wasukuma kutoka Bujora.

This flight operated on the CRJ- jet aircraft which comprises of 50 seats.

Godwin Gondwe mc wa shughuli alikuja na mwewe huo mpya na kurejea nao.

Meneja wa uwanja wa ndege wa Mwanza bi.Ester Madale akizungumza na vyombo vya habari.

FLY540Tanzania kuanzia jumatatu 24jan2011. itafanya safari zake kama ifuatavyo:- ASUBUHU-ndege itaondoka Dar at 0630hrs, na kuwasili Mwanza at 0745hrs, itaonndoka Mwanza 0815hrs na kufika Dar 0930hrs. Kwa JIONI-ndege itaondoka Dar at 1630hrs, na kuwasili Mwanza at 1745hrs, itaondoka Mwanza at 1815hrs na kufika Dar 1930hrs.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.