ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, September 1, 2010

KUTUPIA KITU KUNA U-TA-TAAAA? CHUNGUZA MJOMBA UTABAINI.

KITU CHA BEGANIzz.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA),Mama Salma Kikwete akimtambulisha mgombea Ubunge kupitia CCM Kondoa Mashariki Mkoa wa Singida,Bw.John Lwaji leo mjini humo.Mama Salma yupo mkoani Singida kuwahamasisha wanachama wa UWT kuhusu uchaguzi utakaofanyika hivi karibini mwaka huu.

KITU CHA BEGANIzz.
Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM, Yusuph Nasir (kushoto) akiwa na mwenyekiti wa CCM wakati wa uzinduzi wa kampeni za CCM katika jimbo la Korogwe mji uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi Mazoezi Korogwe.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.