ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, August 3, 2010

RAIS JAKAYA ASINDIKIZWA NA MAMIA YA WANA CCM WAKATI WA KUCHUKUA FOMU OFISI ZA TUME YA UCHAGUZI LEO

Msafara wa magari ukielekea katika ofisi za Tume ya Uchaguzi wakati Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Rais Jakaya Kikwete alipokuwa akisindikizwa na wana CCM kwenda kuchukua fomu leo

Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi Rais Jakaya Kikwete (kulia)na Mgombea Mwenza Mh. Mohamed Ghalib Bilal wakisaini fomu zao mara baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Lewis Makame hayupo pichani katika ofisi za Tume ya Uchaguzi leo hii

Picha Aron Msigwa - MAELEZO na Freddy maro.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.