ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, July 30, 2010

REFA WA SOKA MWENYE BEJI YA FIFA AWA DJ'

REFA ANAYETAJWA KUWA ETI ANAONGOZA KUCHEZEA VICHAPO NCHINI TANZANIA, REFA ALIYETAJWA KUSHUSHWA DARAJA NA HATIMAYE KUTEMWA KABISA HIVI KARIBUNI, REFA ALIYEKUWA NA BEJI YA SHIRIKISHO LA SOKA ULIMWENGUNI FIFA, REFA ALIYEPATA KUCHEZESHA MECHI NYINGI ZA SIMBA NA YANGA NA KUTUPIWA LAWAMA KUCHEZESHA MECHI KIUNAZI, REFA ALIYEBAHATIKA KUSIMAMA PALE KATI KUCHAZESHA MECHI YA KWANZA YA UFUNGUZI WA DIMBA JIPYA (UWANJA WA TAIFA DAR ES SALAAM), REFA ANAYEKWENDA KWA JINA LA PASCHAL CHIGANGA HATIMAYE SASA AUGEUKIA U'DJ.
KAMERA YA BLOG YAKO ILIMFUMA LEO PALE BWALO LA MAGEREZA MUSOMA AKISHUSHA SOUND NA HATIMAYE AKIFUNGA SOUND.

Tupe maoni yako

5 comments:

  1. Yote ni maisha tu. Mkono ni lazima uende kinywani ati!

    ReplyDelete
  2. Sasa wewe Sengo ! Kinachokushangaza hapo ni kitu gani maana hata wewe umetokea kwenye kubeba maspika kwa joe na leo ni msimamizi wa kituo hapo mwanza huoni hayo ni maendeleo. Blog yako inaanza kupoteza maana kwa kuandika habari ZA KITCHEN PARTY ambazo hazitusaidii wadau. Lete matuko ya maana kijana ama funga blog maana mtu kutoka kufanya kazi moja kwenda nyingine ni muendelezo wa maisha. Hivi Joe akikumwaga leo utafanya nini? utarudi arusha kukaanaga vitumbua?

    ReplyDelete
  3. 5 Strategies To Develop A Good Structure On Fb

    my homepage; leads for lawyers
    Review my web blog :: lawyer search engine optimization

    ReplyDelete
  4. I'm not sure where you're getting your information, but good topic.

    I must spend some time learning much more or figuring out more.
    Thanks for great information I used to be looking for this info for my mission.


    seo optimization

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.