ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, February 11, 2010

VALENTINE NDANI YA STONE CLUB 2010.

KATIKA KUSHEREHEKEA SIKUKUU YA WAPENDANAO DUNIANI FEB 14 "VALENTINE" HIVI NDIVYO CLUB YAKO MAARUFU STONE CLUB MWANZA ILIVYOJIPANGA KUKUBURUDISHA WEWE NA UMPENDAYE PAMOJA NA RAFIKI ZAKO.

# Tatua Utata katika bango hili -mpangilio wa graphics sawa. JE! rangi zilizotumika?

Tupe maoni yako

1 comments:

  1. kaka! mi naona mwaka huu valentaini wa2 wanatakiwa wavae ngou za rangi ya buluu na sio nyekundu, maana dizaina wa hilo tangazo kaja na wazo hilo. sisi tulizoea rangi ya valentaini ni nyekundu. ama kweli hii ndo twenti teni (2010).

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.