ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, January 13, 2010

MH. GACHUMA NA WAANDISHI WA HABARI.

IMEKUWA ADA KWA MH. GACHUMA (ALIYESIMAMA) KILA MWISHO WA MWAKA AU MWANZONI KUKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI WA JIJINI MWANZA KUTATHIMINI UTENDAJI KAZI PAMOJA NA KUPEANA NENO LA KUJENGA SISI KWA SISI. MWISHONI MWA WIKI HILO SHEREHE ILIFANYIKA NDANI YA NEW MWANZA HOTEL.
"HIKI NI KIPINDI CHA KUWA MAKINI HASA KWENU WANAHABARI MSITENGENEZE HABARI BALI RIPOTINI HABARI, MSISAHAU KUISHIKA ELIMU," By M NEC. GACHUMA KWA WAANDISHI WA HABARI .
MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI MWANZA JACKSON NYAKUTONYA AKA JACK FISH AKINENA-: "MNAJUKUMU ZITO SANA KUFIKISHA TAARIFA KUUELEZEA UMMA YANAYOJIRI NA KUKOSOA PALE PALIPO NA KASORO TUMIENI VIZURI KARAMA YENU"
"IKUMBUKENI KAULI YA MH. RAISI MSTAAFU BEN.MKAPA NCHA YA KALAMU INASUMU KALI ZAIDI MTUTU WA BUNDUKI"
MARA BAADA YA MAJADILIANO NA KUKAMUA MISOSIz (samahani eneo hilo nimeliruka kwa sababu za msingi) MWISHO WAANDISHI WA HABARI WALIPATA FURSA KUHOJI MENGINEYO.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.