ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, September 22, 2009

NI MSONDO AU SIKINDE?


MIAKA IMEENDA MIAKA IMERUDI, KILA MMOJA AMEKUWA AKIMTAMBISHIA MWENZIE :- OOH MIMI MKALI, OOH HAWATUWEZI, OOH WAMEKWISHA WALE, OOH SIJUI NINI NINI... YOTE TISA, KUMI WAKATI UMEWADIA KUTAMBUA UPI MCHELE ZIPI PUMBA. HUKU SIKINDE HUKU MSONDO NI LIVE BILA CHENGA NDANI YA JIJI LA MWANZA SIKU HIYO GITAA ZITALIA, SAUTI ZITASEMA

MAHALI:- CCM KIRUMBA MWANZA
TAREHE:- 3/10/ 2009
KUANZIA SAA 1:30 USIKU
MPAKA MSHINDI APATIKANE
KIINGILIO TSH 5000/=
MSONDO Vs SIKINDE NANI ZAIDI?
HATOKI MTU MZIMA

Tupe maoni yako

4 comments:

  1. mbona tangazo linaonyesha kiingilio 7000/= wewe umeandika 5000/=?

    BMK

    ReplyDelete
  2. KIINGILIO CHA KWENYE TANGAZO KISKUPE TABU MDAU ILIKUWA NDIYO BEI SO ILIKUEPUKA TATIZO LA CHENJI WAANDAAJI WAMEAMUA KUFANYA BUKU TANO TANO (5000/=). BMK UKO MAKINI.

    ReplyDelete
  3. yalaaaa, kaka sengo hii kesi si ya kitoto natamani niwepo siku hiyo, si wajua afrika ndo kwangu na haya ndo mabo yangu, du! kaaz kweli kweli

    ReplyDelete
  4. ah sana tu mambo yako hayo mzazi! kwangu si kitu ya kuuliza. nitajitahidi kukuemail na maphoto kila hatua ili bana ba viva afrika bajhue ile kitu nafanyika kwa fasi ya mwanza... vwalla!

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.