Tupe maoni yako
Kombora la Israel laipiga Iran, huku milipuko ikisikika katikati mwa nchi
-
Kombora la Israel limeipiga Iran, maafisa wa Marekani wamekiambia kituo
mshirika wa BBC CBS News.
43 minutes ago
bora umerudi nilikuwa namiss habari na picha za mwanza si unajua tena huku ughaibuni tuna hamu ya kutaka kujua yanayoendelea nyumbani. Naona saanane inakarabatiwa safi sana ni hifadhi ya pekee tanzania
ReplyDeleteBMK
MDAU WANGU BMK NIMEKUSOMA SANA SANA, ONDOA SHAKA NI MASUALA YA MTANDAO NDO YALIKUWA YAKIZINGUA LAKINI SASA YAKO POA HIVYO KUANZIA TAREHE 1 SEPTEMBER MAJIRA YA MCHANA NGOMA ITAKUWA MDUNDO NYUZI BIN NYUZI. BIG UP MZAZI KWA KUWA MFUATILIAJI INGAWA SIJAJUA UKO MAJUU IPI YA UGHAIBUNI. TEH
ReplyDeleteniko UK mkuu
ReplyDeleteBMK